Saturday, 4 June 2016

POMBE VS VILEO

POMBE

HII NDO DUNIA YA LEO WARUMI 12:2






WADADA; HUKU NI KWENDA NA SHETANI? au NI KWENDA NA WAKATI?

Kuna wadada wengi sana (ila sio wote),
WANAMPIGIA SHETANI KAMPENI
.
THEY LACK CONFIDENCE ABOUT THEIR BEAUTY
. Na wanaitumia hiyo miili yao kuangusha watu kiroho. Badala ya kuvaa nguo nzuri za kupendeza, wanavaa nguo za ajabu ajabu za kutega wanaume. Mdada anavaa nguo za
“kutamanisha” badala ya za “kupendezesha”. Wanavaa visuruari vinavyowachora

UZINZI WA KIROHO

Tuesday, 22 March 2016

A FIGHT FOR A TERRITORY.(PAMBANA DHIDI YA MILIKI AU HIMAYA YAKO)

BY LUHWAGO SHADRACK C                   PDF HERE>>>


What is a territory?.                                                           
What is in the territory?
Why to fight for your territory?
Hii ndiyo maana ya kawaida kabisa ya neno Territory is (an area of) land or sometimes sea, which is considered as belonging to or connected with a particular country or person.
KATIKA HII DIFINITION KUNA MANENO KAMA connected, na belonging.ni maneno ambayo yamenisukuma siku ya leo kutoa somo hili kwako mpendwa Taifa Teule la Mungu.
Kwa hali ya kawaida kila mmoja wetu ana miliki

Tuesday, 15 March 2016

MAARIFA YA NDOTO KATIKA ULIMWENGU WA ROHO

                                      
                Imeandaliwa na luhwago shadrack c contacts 0764444277/0712105099
                                luhwagoshadrack17@gmail.com.

PDF HERE

Ndoto ni mtiririko wa picha zitembeazo katika akili ya mtu,pindi mtu huyo anapokuwa amelala. Ndoto huja pale mtu anapokuwa amelala,na ndio maana huwezi kumkuta mtu ambaye ajalala,mtu atembeaye kisha akuambie ya kwamba alikuwa anaota ndoto wakati anatembea.
Actually ndoto husubiri kupumzika kwa akili. Wakati mwingine

UTUKUFU NI MBELE KWA MBELE

Mungu alichokuwekea hakiozi. Ni methali ya Tanzania. Ni methali ambayo inatia matumaini kwa watafutaji na waliokata tamaa. Makubwa Mungu aliyokuwekea yatafunuliwa mbele kwa mbele. Utukufu ni mbele kwa mbele. Mungu anaweza kubadili

Thursday, 25 February 2016

USIKATE TAMAA KWANI PANCHA SIYO MWISHO WA SAFARI

Na Faustin Kamugisha
MUWE TAYARI siku zote kumjibu kila mtu awaulizaye habari za tumaini lililo

Monday, 15 February 2016

THE POWER OF COVENANT, AGREEMENT AND RESPONSIBILITY IN FAITH.

 Nimekumbushwa na Roho Mtakatifu kutoa somo hili
  1.  Nini maana ya covenant
  2.  Agano
  3.  Maana yake ni nini
  4.  What is agreement?
  5.  And what is responsibility
 Akina nani wanaingia katika agano, makubaliano na kupeana majukumu?
Wanaongia katka makubaliano wanakuwa na sifa gani
 Nimefundisha somo hili katika fellowship mbalimbali na wengi wamesonga mbele kiroho
kwa kawaida  Wanaopatana

Friday, 12 February 2016

"NEEMA YA KUKUSAIDIA WAKATI WA MAHITAJI (MAGUMU/ SHIDA/ CHANGAMOTO/ MATATIZO)"




Waebrania 4:16
"Basi na tukikaribie KITI CHA NEEMA kwa ujasiri, ili tupewe REHEMA, NA KUPATA NEEMA YA KUTUSAIDIA WAKATI WA MAHITAJI"
Ni habari njema mno kujua kuwa mbinguni hakuna kiti cha hukumu tu.
Hakuna kiti cha enzi tu.
Pia kuna kiti cha neema. Kiti maalum ambacho kinaachilia neema kwa walio ndani ya Yesu.
Ukimwendea Yesu

KUFUNGA NA KUOMBA



kufunga nini?
kuomba ni kitu gani?
kuomba na kufunga kuna uhusiano gani?
katika hili zipo sababu nyingi sana kwa nini tunafunga na kuomba. kwa leo ngoja nikupitishe katika maandiko , uweze kuelewa hili na litakusaidia   sana  .BABA KATIKA JINA LA YESU KRISTO UTUTAZAME SISI WAJA WAKO , UELEWA WA SOMO HILI SAWASAWA NA MAPENZI YAKO. AMINA.

Thursday, 4 February 2016

SHINA LA UKOO NA URITHI ULIOMO NDANI YAKE



SHINA LA UKOO NA URITHI.
Imeandaliwa na mr.luhwago shadrack c mwanafunzi wa sayansi ya chakula na teknolojia SUA (2013-2016)
Mawasiliano: 0764444277, luhwagoshadrack17@gmail.com
UTANGULIZI.
Somo hili ni pana na lina mafundisho jinsi ya kutambua jinsi dhambi mbali mbali zinavyoweza kutoka kizazi kimoja kwenda kizazi kingine , Bila ya kizazi chenyewe kutambua
MAANA YA SHINA LA UKOO URITHI
Katika kichwa hiki cha somo tunatakiwa tujue maana ya maswali yafuatayo
ü  a/ nini maana ya shina
ü  b/nini maana ya shina la ukoo
ü  c/nini maana ya urithi
ü  d/nani anarithishwa
ü  e/ sifa za mwenye kurithishwa