Saturday, 4 June 2016

HII NDO DUNIA YA LEO WARUMI 12:2






WADADA; HUKU NI KWENDA NA SHETANI? au NI KWENDA NA WAKATI?

Kuna wadada wengi sana (ila sio wote),
WANAMPIGIA SHETANI KAMPENI
.
THEY LACK CONFIDENCE ABOUT THEIR BEAUTY
. Na wanaitumia hiyo miili yao kuangusha watu kiroho. Badala ya kuvaa nguo nzuri za kupendeza, wanavaa nguo za ajabu ajabu za kutega wanaume. Mdada anavaa nguo za
“kutamanisha” badala ya za “kupendezesha”. Wanavaa visuruari vinavyowachora
miili na maungo yao. Wanavaa suruali kama viplastiki- wanavaa nusu uchi. Hali imekua mbaya kiasi kwamba unajiuliza huyu ni mtu wa Mungu? au ni PEPO linatembea?”
 Is their body for cursing or for blessings? For satanic or for Godly? Je, Wanafanya matangazo ya kuzini? Wanavaa visoksi! Hata style na jinsi wanavyotembea lazima utaona wanamatatizo. Are they emotional manipulators?
Je, watu hawa wanamapepo?
 Hivyo vinguo havimpi mvaaji heshima bali vinaonesha upotevu wake tu. It shows how much she lacks confidence about her  beauty.
Je, humwogopi Mungu kiasi kwamba ukamchezea na kujifanya mwema siku ya kanisani tu alafu ukatumika kuteketeza, kuzinisha na kuangusha kiroho watu wa Mungu kwa wiki nzima? Dhambi ya kuzini moyoni ikishakua hufanya mtu aone kuzini kimwili ni kiwaida tu.
Huyo mdada huangusha vijana wangapi darasani mwao? Kwamaana wako pamoja mda wote wa darasani.

Je, itakua ni kosa kwa wadada wa namna hii  kuitwa “PEPO”?
 Can the Christian body with Holy Spirit  be used to make people commit adultery in their hearts? Wadada wa namna hii (ambao hawataacha) hawajipendi hata wenyewe.
Kwa maana imeandikwa
, “
Love your neighbor as yourself.
As it is written;
Mambo yasababishayo watu watende dhambi hayana budi kutukia
.
 Lakini ole wake mtu yule anayeyasababisha (
Luke 17:1)”.
You cannot love God in your heart and then curse God by your body
. Ni hatari iliyoje kwa Mdada/mwanaume kutomuogopa Mungu? HATA KANISA HAWALIJUI! Mungu hatengenezi watu wanafiki kiasi hicho.


Kuna wengine watasema mioyoni mwao, “this is private life”. Huo ni ushauri wa kishetani
 kama mtu anavaa nguo na kutembea nazo publically halafu huku akawa anadhani anachokifanya ni private.
Wengine wajitetea eti kuvaa visuruari, viplastiki, vitopu, vipedo, vipensi, na visiketi vifupi kama vya makahaba….. kwamba eti ni kwenda na wakati.  huko ni kwenda na shetani na wala sio kwenda na wakati.
NASISI WANAUME

(sio wote) tuna matatizo, haiwezekani kabisa kwa mtu kuzini mwoyoni mwake. Only if our mind is filled with sexual desires, sexual movies, imaginations and sexual pictures. Kwa maana kama kichwa kimejaa hayo mambo, lazima utazini moyoni mwako tu. Kwamaana kila ukimuona mdada aliye vaa Kishetani anakuwa compliment wako na kukufanya uzini moyoni mwako. The ultimate target of satan is male. Ukitaka kujua hili angalia karibu kila kitu … music videos, movies, tv, etc, utaona mwanamke yuko nusu uchi lakini mwanaume amependeza, lengo pale ni kumdaka mwanaume anaeangalia. Na mwisho wa siku ni mtu kuzini kimwili.

 NB.
TUNAJUA NI KWELI WADADA WENGI SANA WANAMPENDA MUNGU
. (ndio maana tumeandika kwa viurizo ili mtu ajijaji mwenyewe na Mungu wake). Huenda walikua wanafanya haya bila kujua. Kama ndio hivyo; BADILIKENI. Kwa wale mwenye mapepo, haya mambo ni kazi sana kuyaacha na kazi yote hii itaonekana kuwa takataka tu mbele yao. Hao wamepumbazwa hata ukweli huu hawatauona na wataona complications tu. Na huenda waliyapata mapepo kwa njia ya kuzini (kimwili). Mtu yeyote anae-zini au kufanya uasherati hua anapoteza Roho Mtakatifu papo hapo na ndani mwake hujazwa na roho wa shetani (mapepo). Je, kuna anay eweza kusema “ewe Roho Mtakatifu ulie ndani mwangu hebu naomba ukae pembeni ili nizini alafu nikimaliza utarudi tena
”. Ninani atasema hivyo?
Kwa hiyo kama mtu yeyote (male/female) alishazini alafu mpaka sasa yupoyupo tuu, hajatubu na hajamkiri YESU kwa kinywa chake kama Bwana na Mwokozi wake, huyo bado anamapepo na anaishi nayo mpaka sasa “ukimuona mwanadamu  ana penda kuzini, huyo sio yeye… bali ni mapepo…yalio ndani mwake”.  Ukimuona mdada amesoma kazi hii, akapuuza, akaendelea  kuvaa kishetani…huyo sio yeye, bali ni mapepo”



No comments:

Post a Comment