BY APOSTLE SHADRACK
LUHWAGO
0764444277 or 0712105099
BWANA YESU
APEWE UTUKUFU, TAIFA TEULE LA MUNGU
Ninayo furaha kubwa siku ya leo kukuletea ujumbe huu
ambao utakuwa chemichemi ya kufahamu makao yako ya milele, na namna ikupasavyo
kutenda angali u hai hapa duniani
Ndugu zangu katika KRISTO YESU neema ya Bwana wetu
Yesu Kristo na ushirika wa Roho mtakatifu uwe nasi sote, kwa maana sisi hapa
duniani Tu wapitaji/ wasafiri. Na imetupasa kuishi na kuenenda kama