Saturday, 4 June 2016
HII NDO DUNIA YA LEO WARUMI 12:2
WADADA;
HUKU NI KWENDA NA SHETANI? au NI KWENDA NA WAKATI?
Kuna
wadada wengi sana (ila sio wote),
WANAMPIGIA
SHETANI KAMPENI
.
THEY LACK
CONFIDENCE ABOUT THEIR BEAUTY
. Na
wanaitumia hiyo miili yao kuangusha watu kiroho. Badala ya kuvaa nguo nzuri za
kupendeza, wanavaa nguo za ajabu ajabu za kutega wanaume. Mdada anavaa nguo za
“kutamanisha” badala
ya za “kupendezesha”. Wanavaa visuruari vinavyowachora
Subscribe to:
Posts (Atom)